Friday, May 4, 2012

KARIBU

karibuni katika blog yangu http://www.makutano1.blogspot.com/ lengo la blog hii ni kutangaza utalii wa ndani hususani mji wa kihistoli ,mji wa kale,mji ambao ustaraabu ulianza hapo,mji wa kwanza kutumia saraafu yake yenyewe  yani kilwa masoko,kisiwani,kivinje. Na kipatimu ambako ndiko  vita vya majimaji vilipopiganiwa. Na utaliii mwingine wa ndani etc.