karibuni katika blog yangu
http://www.makutano1.blogspot.com/ lengo la blog hii ni kutangaza utalii wa ndani hususani mji wa kihistoli ,mji wa kale,mji ambao ustaraabu ulianza hapo,mji wa kwanza kutumia saraafu yake yenyewe yani kilwa masoko,kisiwani,kivinje. Na kipatimu ambako ndiko vita vya majimaji vilipopiganiwa. Na utaliii mwingine wa ndani etc.
No comments:
Post a Comment